BurudaniMuziki

New Music: Soggy/Suma-G/Inspector/Juma Nature/Hammer Q – Wakali wa hizi Kazi

Way Back Entertainment inakuletea mradi ambao utakuwa ukiwakutanisha wasanii wa zamani katika kurekodi pamoja nyimbo mpya na kufanya matamasha ya pamoja. Kwa kuanzia WAY BACK imewakutanisha kwenye wimbo mmoja wakali wafuatao SOGGY DOGGY,SUMA-G,INSPECTOR HARUN,JUMA NATURE NA HAMMER Q producer Q The Don akiwa ni Q the Don.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents