Burudani
New Music: Skywalker f/ Haitham – Asante
Kitu gani cha muhimu zaidi ya kumshukuru Mungu kwa kukupa pumzi hadi leo? Skywalker ameungana na msanii wa MJ Records, Haitham kwenye wimbo huu uitwao Asante uliotayarishwa na Daxo Chali.
https://youtu.be/KkIoljYkFGw