Burudani

New Music: Rihanna aachia wimbo mpya ‘Four Five Seconds’ Ft. Kanye West na Paul McCartney

Rihanna ameachia wimbo mpya unaoitwa “FourFiveSeconds”, ambao kawashirikisha rapper Kanye West pamoja na Paul McCartney. Wimbo huo ameuweka kwenye website yake rasmi rihannanow.com.

http://youtu.be/c4Jb78oveWY

Riri yuko kwenye matayarisho ya album yake mpya iatakayokuwa ya nane ambayo itakuwa inafuata baada ya “Unapologetic” aliyoitoa 2012.

Related Articles

Leave a Reply

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents