Burudani
New Music: Rick Ross Feat. Chris Brown – Sorry
Rick Ross ameachia wimbo wa kwanza kutoka kwenye album yake mpya na ya nane ‘Black Market’ inayotarajiwa kutoka mwezi December. Single mpya inaitwa ‘Sorry’ akiwa amemshirikisha Chris Brown.