Burudani

New Music: Remy Ma – ShEther (Nicki Minaj Diss)

Remy Ma amemchana Nicki Minaj kwa diss track aliyoipa jina shETHER.

Ametumia beat ya wimbo Ether wa Nas ambao alimdiss Jay Z enzi wana bifu. Remy ameachia diss hiyo kujibu mapigo ya Nick kwenye wimbo wa Gucci Mane, Make Love ambao Nick amemchana Remy. Sikiliza ngoma hiyo hapo chini.

https://soundcloud.com/remymamusic/remy-ma-shether

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents