BurudaniMuziki

New Music: Oscar nyerere & Dr Mfyuzi Ft Ally Nipishe – Amani

Wimbo huu Umeimbwa na baadhi ya waigizaji sauti nchini yani Oscar Petro maarufu kama Oscar nyerere na Shaphii Omary maarufu kama dr.mfyuzi unaosisitiza Amani ya nchi yetu. Tanzania kwa kutumia sauti ya hayati Baba wa Taifa na sauti ya Raisi wa awamu ya nne Dr Kikwete.Wimbo una mahadhi ya kuhutubia lakini pia una chorus iliyoimbwa na Ally Nipishe toka THT.
Video ipo njiani inayotarajiwa kutoka mwishoni mwa mwezi huu wa nane 2014

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents