Burudani
New Music: Ommy Dimpoz – Ndagushima
Ommy Dimpoz anaachia audio ya wimbo wake Ndagushima. Video ya wimbo huu ilitambulishwa kwa mara ya kwanza kupitia MTV Base na sasa inachezwa katika vituo vingi barani Africa. Wimbo umetayarishwa na Tudd Thomas.