Burudani

New Music: Music Pathogen f/ Chris Brown – Lady In A Glass Dress

Hii ni ngoma mpya ya Skywalker kupitia jina lake jipya kimuziki ‘Music Pathogen’.

Lady(1)

“Lady In A Glass Dress ni interlude kwenye album mpya ya Chris ‘X’. Japo ni fupi lakini ndio kipande ninachokisikiliza zaidi kwenye album hii. Ujumbe wake unafanana na mashairi niliyoandika miaka miwili iliyopita ya wimbo nilioupa jina ‘Be Your Man’ ambao sikuwahi kuufanya,” anasema Sky ambaye ni shabiki mkubwa wa Chris Brown.

“Nilichofanya nimeproduce beat mpya kwa kufuata ala za ‘Lady In A Glass Dress’ na kurekodi mashairi yaliyochanganywa na interlude hiyo. Nilipenda sana interlude hiyo ‘Lady In A Glass Dress’ iwe wimbo kamili so nimetimiza ndoto yangu ya kuufanya kuwa wimbo uliokamilika,” ameongeza.

Usikilize hapa.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents