Burudani
New Music: Madonna f/ Nicki Minaj – B*tch I’m Madonna
Madonna amerudi na ujio wa kushtukiza weekend hii kwa kutangaza album yake mpya na ya 13, Rebel Heart na kutoa nyimbo sita kwa mpigo ukiwemo “Unapologetic Bitch,” wimbo uliotayarishwa na Kanye West na Mike Dean- “Illuminati,” na “Bitch I’m Madonna,” aliyomshirikisha N icki Minaj.
https://www.youtube.com/watch?v=GZ7fpjfTkh4#t=71
Chini ni nyimbo zingine kwenye album hiyo.
https://www.youtube.com/watch?v=F_plHXthYPU
https://www.youtube.com/watch?v=AcN3mYp8rNo