Burudani
New Music: M.I Abaga – King James
Ita rappers wote wa Nigeria waulize nani wanamuogopa zaidi na hakuna ubishi kuwa jina la M.I. litatajwa zaidi. Na sasa rapper huyo mwanzilishi wa label ya Chocolate City amerejea na ngoma mpya ‘King James’. Isikilize hapa.