Burudani
New Music: Lil Wayne f/ Christina Milian – Start a Fire
Baada ya kuutumbuiza wimbo huu live kwenye tuzo za AMAs, Lil Wayne ameachia single mpya ‘Start a Fire’ aliyomshirikisha msanii wa YMCMB, Christina Milian.
Ngoma hii itapatikana kwenye toleo la kwanza la album ya Tha Carter V itakayotoka, December 9.