Burudani
New Music: Lady Jaydee ft. Dabo – Forever
Hii ndio single mpya ya Lady Jaydee aliyomshirikisha Dabo inayoitwa “Forever”.
Wimbo umetayarishwa na producer Man Water wa Combination Sounds, na video ya wimbo huo ambayo itatoka wiki hii imefanywa na muongozaji mkongwe Adam Juma wa Next Level.