Burudani

New Music: Kala Jeremiah f/ Roma – Nchi ya Ahadi

Kala Jeremiah na Roma wameungana kutengeneza ngoma mpya ‘Nchi ya Ahadi’ iliyotoka leo. Kwenye wimbo huo Kala amechukua nafasi ya mwananchi anayemuuliza maswali magumu Roma ambaye ni mwanasiasa anayetafuta nafasi nyingine ya uongozi. Ni wimbo mzuri hasa kwa kipindi hiki. Usikilize.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents