Burudani
New Music: Jaguar ft. Iyanya – One Centemeter (remix)
Siku chache zilizopita msanii Jaguar wa Kenya alienda nchini Nigeria kushoot video ya collabo yake na Iyanya. Jaguar ameachia audio ya wimbo huo ‘One Centemeter’ (remix). Video ya original version ilifanyika nchini Afrika Kusini.