Burudani
New Music: Izzo Bizness – Mr Christmas
Izzo Bizness ameachia single mpya kama zawadi ya Christmas. Single inaitwa Mr Christmas iliyotayarishwa na watayarishaji wawili, Duppy na Fundi Samweli.