Burudani

New Music: Ibra – Sambaza Upendo (Serengeti Fiesta 2014)

Msanii chipukizi kutoka Iringa, Ibra amekuja na anthem yake ya Serengeti Fiesta 2014 ‘Sambaza Upendo’ na kama ukichukua muda kuusikiliza utakubaliana nasi kuwa Clouds FM na Serengeti Fiesta wanapaswa si tu kuanza kuutumia wimbo huu kwenye Fiesta mwaka huu bali pia kumchukua kabisa kuzunguka naye kwenye mikoa iliyosalia. Huu ni wimbo mkali wa R&B wenye hisia kali na uliobeba ujumbe mzito kuhusu kusambaza Upendo. Enjoy!!

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents