Burudani
New Music: Heri Muziki – Nchi Yetu (Muziki Wetu)
“Huu wimbo unaohusu amani, upendo, uhuru na pia kujivunia na kusherekea utaifa wetu,” anasema Heri Muziki.Nchi Yetu (Muziki wetu) uliotayarishwa na Mswaki umeandikwa na Adam Kaps, KT, Heri Muziki & Mswaki.