Burudani
New Music: Gosby – Drunk In Love (Remix)
Gosby ameachia ngoma nyingi kupitia utaratibu wa kuachia ngoma mpya kila wiki kutoka kwenye mixtape yake ijayo MissTape. Awamu hii amefanya remix ya wimbo wa Beyonce na Jay Z ‘Drunk In Love’.