Burudani

New Music: Feza Kessy – My Papa

Baada ya kimya kirefu, Feza Kessy ameachia ngoma yake mpya iitwayo ‘My Papa’. Kwakuwa sasa amepata ‘Amani ya Moyo’, mwakilishi huyo wa mwaka jana wa Tanzania kwenye shindano la Big Brother Africa, ameamua kumuimbia mpenzi wake (ofcourse O’Neal) namna anavyompenda. Katika wimbo huu wenye beat kali ya Kiafrika iliyotengenezwa na Nahreel, Feza anaimba kwa Kiingereza na Kiswahili.

[soundcloud url=”https://api.soundcloud.com/tracks/145888021″ params=”auto_play=false&hide_related=false&visual=true” width=”100%” height=”450″ iframe=”true” /]

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents