Burudani
New Music: Fabolous – She Wildin ft. Chris Brown
Fabolous amewapa mashabiki wake zawadi ya sikukuu ya Christmas kwa kutoa wimbo mpya uitwao “She Wildin” aliomshirikisha Chris Brown, unaopatikana kwenye album yake mpya “The Young OG Project”. Kwenye wimbo huu amesample hit ya mwaka 2000 ya Nas “Oochie Wally”.