Burudani
New Music: Emanuel Austin f/ Ben Pol – Jump Ruka Juu
Sikiliza wimbo mpya wa mwalimu wa dance nchini Ujerumani, Emanuel Austin aliomshirikisha Ben Pol. Beat imetengenezwa na Fundi Samweli na sauti kuingizwa katika studio za Authentic za Dar es Salaam.