Diamond Platnumz
New Music/Video: Diamond Platnumz – Ntampata Wapi
Sikiliza na tazama video ya ngoma mpya ya Diamond Platnumz ‘Ntampata Wapi’ iliyotambulishwa leo. Wimbo umetayarishwa na Sheddy Clever. Video ilifanyika nchini Afrika Kusini.