Burudani

New Music: AY ft. Ms Triniti & Lamyia – Its Goin Down

Mzee wa commercial, AY ameachia single yake mpya ya kimataifa ‘Its Going Down’, ambayo amewashirikisha Ms Triniti pamoja na Lamyia. Hii ni mara ya pili kushirikiana na wasanii hawa wa kike kutoka Marekani.

http://youtu.be/C64rffAxg_0

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents