Burudani
New Music: Amani f/ Juliani – Unanitosha
Baada ya kukaa kimya kwa muda mrefu, muimbaji wa Kenya, Amani amerejea tena na ngoma mpya iitwayo ‘Unanitosha’ aliyomshirikisha Juliani. Isikilize hapa.