Burudani
New Music: Abela – Malaika (R&B Cover)
Abela ni muimbaji wa R&B mtanzania anayeishi nchini Marekani. Amekuwa akifanya cover za nyimbo mbalimbali na kuziweka kwenye Youtube. Awamu hii amekuja na cover ya wimbo wa zamani ‘Malaika’ ambao ameuweka vionjo vitamu vya R&B.
https://www.youtube.com/watch?v=-NjvhgCjbTk&feature=youtu.be