Burudani
New Music: 909 – Njoo Hapa
Kundi la 909 linaloundwa na members watano, limeachia single mpya ‘Njoo Hapa’
“Njoo Hapa ni wimbo unaotoa matumaini kwenye Mapenzi hasa kwa wale walowahi kuumizwa, Your past experiences cant dictate your future happiness. TRUST AGAIN,” wanasema.