Bongo Movie

Neema kuwa Mtoto wa Mtaani

Neema1

Chipukizi wa sanaa ya filamu na maigizo  Hasifa Omari ‘Neema’ ametia sahihi mkataba mpya kwaajiri ya kuchezea filamu hiyo. Akizungumza na Bongo5 alisema mwanzo mama yake alimwekea pingamizi,  kukubaliana na mkataba huo, ingawa hajasema kwanini alikuwa akiugomea. Hata hivyo alisema amembembeleza kiasi cha kumkubalia  hatmaye akadondosha sahihi yake, ambayo itamruhusu mwanaye acheche kama ‘MTOTO WA MTAANI’. “Nitaigiza kama mtoto wa mtaani naahidi kutowaangusha mashabiki wangu katika tasnia nzima ya filamu”

S4020461

Neema

Hapa akiwa katika Pozi Tofauti pale Leaders Club katika Bonaza la kila Juma mosi.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents