Picha
Ndoa ya Bob Junior ilivyojibu (Picha za mwanae)
Wiki iliyopita producer na muimbaji Bob Junior na mkewe walipata mtoto wa kiume. Bongo5 inampa hongera rais huyo wa Sharobaro kwakuwa Baba. Hizi ni baadhi ya picha za Bob Junior na wanafamilia wengine wakiwa na mtoto huyo kama zilivyowekwa na Guru Ramadhan ambaye ni mjomba wake na Bob Junior.