Burudani

Navy Kenzo kutumbuiza kwenye tuzo za Pulse, Kenya

Navy Kenzo wapo jijini Nairobi, nchini Kenya kwaajili ya kutumbuiza kwenye tuzo za muziki za Pulse.

14607084_369629433378954_3841937353958490112_n

Kundi hilo linaloundwa na Aika na Nahreel litatumbuiza kwenye tuzo hizo Alhamis hii zitakazofanyika kwenye hoteli ya Serena.

Zaidi ya watu milioni 4 wanatarajiwa kushuhudia show hiyo. Wakali hao kwa sasa wanatamba na wimbo wao Feel Good.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents