Habari

Nape Nnauye awapa tano waandishi wa habari

Aliyekuwa Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Nnauye amewashukuru waandishi wa habari kwa mchango wao pamoja na upendo waliomuonyesha wakati wa uwaziri wake.

Mbunge huyo wa jimbo la Mtama, amesema hayo kupitia Twitter:

Wanahabari mme GUSA sana moyo wangu!Sikujua kama mnanipenda na kunithamini kiasi KILE!Nawashukuru SANA kwa kujitolea kwenu!Nawapenda SANA!

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents