Burudani

Mzungu kichaa aja upya

1_mzungu_kichaa_na_Dj

Mwanamuziki mkongwe katika miondoko ya Bongo Fleva Mzungu Kichaa, alikuwa akitoa buludani katika ukumbi wa Runway, uliopo katika jingo la Shopper.

Msanii huyo alisema kwa sasa amaekuja na Dj, mpya ambaye ametokea Ulaya na kuja kumfanyia Remix nyimbo zake kwaajiri ya kuziweka kwenye ubora zaidi.

Anasema Dj huyo alitokea kumkubali kipindi alipokuwa akiimba katika tamasha la Sauti za Busara kule Zanzibar, na kuungana pamoja kwaajiri ya kufanya kazi ya Kimuzidi.

Dj_na_Mzungu_kichaa
(Mzungu kichaa akiimba katika moja ya nyimbo zake)

wacheza_shoo_mzungu_kichaa
Watu wakipata buludani iliyotolewa na Mzungu Kichaa, katika ukumbi wa Runway

Mzungiukichaa_akiimba
Mzungu kichaa akiimba kwa hisia kari

 

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents