Burudani

Mzee kijana

Image
Nguli wa muziki nchini, Zahir Ali Zorro ameonyesha jinsi gani alivyougomea umri wake kumzuia kwenda sawa na wanamuziki wa kizazi kipya. Ukiachana na maonyesho ya hapa na pale na bendi ya B Band na kolabo ya Ripoti za mtaani aliyoshirikishwa na Fid Q,Mkongwe huyu yuko mbioni kuachia ngoma nyingine ya hip hop akishirikiana na Mr Blue na Baby Boy inayotengenezwa chini Zizzou Entertainment

Kwa sasa, Mr Zorro anatamba na singo yake yake ya Barua pepe

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents