Burudani
Mwasiti, Linah, Vanessa Mdee, Pipi na wengine washiriki kwenye wimbo wa kampeni dhidi ya Fistula
Mwasiti, Vumilia, Dayna, Recho, The Trio Linah, Maunda Zorro na Meninah ni miongoni mwa wasanii wa kike nchini walioshiriki kwenye wimbo wa kampeni ya Fistula. Wengine ni Feza Kessy, Keisha, Vida, Pipi, Vanessa Mdee, Queen Darleen, Zuhura, Baby J nawengine. Usikilize hapa.