Burudani

Mwanamuziki huyu ajitoa kutumbuiza kwenye sherehe za kuapishwa Trump baada ya kutishiwa kuuawa

Mwanamuziki wa Marekani, Jennifer Holliday amejiondoa kutumbuiza kwenye sherehe za kuapishwa kwa Donald Trump baada ya watu kumtishia kumuua yeye na familia yake.

Kwa mujibu wa TMZ, staa huyo wa Dreamgirls, alikuwa amekubali kutumbuiza kwenye sherehe hizo lakini akajiondoa kutokana na vitisho vya kuuawa.

Msemaji wake alisema:

It was all of those things. She wasn’t scared to perform. She didn’t want to put her family at risk based on the death threats and she also didn’t want to offend the LGBT community which was especially upset that a past ally would perform on a program with President-Elect Donald Trump

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents