Burudani

Mwana FA aungana na Jay-Z, Beyonce, Rihanna kwenye NBA All-Star Game (Picha)

Jumapili ya jana Mwana FA aliungana na mastaa wengine wa Marekani wakiwemo Jay Z na Beyonce pamoja na rais wa zamani wa Marekani, Bill Clinton kwenye NBA All-Star Game katika uwanja wa Madison Square Garden jijini New York Marekani.

AljF6E5AsmqrIAp9NU67qetbVJoLpp22__yau7Vw78Xi
Mwana FA akiwa kwenye uwanja wa Madison Square Garden, New York

Mwana FA ameiambia Bongo5 kuwa All-Star Game ni noma.

AptkcNVAfEf74CV4yYUi-1IMzsJ0blfXyIK7-4HM1Zw5

“Unajua ni kama mchanganyiko wa NBA nzima na top artists kibao, ni
event kubwa. I saw Nas performing, we mtu wa hip hop unajua what that means,” amesema Mwana FA.

AgyyJS0Z3xoErZN-G8UEZx55vn0-q9XgLr4O0YZuYIsJ
Picha ya tiketi ambazo Mwana FA alitumia kuingilia kwenye michezo hiyo. Tiketi moja ni $350 (takriban shilingi laki sita za Tanzania)

25B8C68600000578-0-image-a-15_1424058594767

NBA All-Star Game 2015
Russell Westbrook wa timu ya mastaa wote wa Western Conference, akikabidhiwa tuzo ya NBA All-Star Game MVP trophy kwenye michezo hiyo ya 64 ya NBA All-Star Game, February 15, 2015, Madison Square Garden New York

25B881CB00000578-2955148-image-m-95_1424063950476
Rihanna pia alihudhuria

Tazama picha zaidi za mastaa hao.

25B8B92800000578-2955131-image-a-35_1424062747003

25B8BE7100000578-2955148-image-m-96_1424063978077

25B8E10A00000578-2955131-image-a-22_1424059697901

25B8E10000000578-2955131-image-a-30_1424059810011

25B8EC6100000578-2955131-image-a-37_1424062764808

25B87DB600000578-2955131-image-a-26_1424059724682

25B88EE800000578-2955131-image-m-20_1424058913873

25B862EF00000578-2955131-image-m-38_1424062845398

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents