Habari

MV Magogoni ikipiga mzigo

MV Magogoni ikipiga mzigo
Pichani ni kivuko kipya cha MV Magogoni  ambacho kina uwezo wa kubeba abiria 1,000 na magari zaidi ya 50.

Kwa kweli kivuko hicho kimesaidia sana wakazi wa Kigamboni pamoja na
kurahisisha na kuboresha hali ya kusafirisha watu, magari na mizigo
kwenda na kutoka Kigamboni.

Safi sana, sasa tunasubiri daraja!

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents