Burudani

Muziki ya Darassa yazidi kupaa kwa kasi YouTube, ndani ya siku 1 yaangaliwa mara elfu 71

Video ya wimbo ‘Muziki’ wa Darassa uliotoka Nov 23, 2016 unaendelea kuwa gumzo Afrika Mashariki na Afrika nzima.

Video ya wimbo huyo katika mtandao ya YouTube umeangaliwa mara 3,075,185 kwa kipindi cha mwezi mmoja.

Kwa mujibu wa hesabu za haraka haraka kutimia YouTube video ya wimbo huo imeandaliwa na watu 71,392 kupitia mtandao huo kwa siku ya jana.

Rapper huyo jana Jan 8, 2017 aliposti picha kuonyesha watazamaji wamefikia milioni 300,3793.


Post ambayo Darassa aliiweka jana

Jumatatu Jan 9, 2017 video hiyo imeoneka kupaa zaidi baada ya kuangaliwa mara 3,075,185 ikiwa ni ongezeko kubwa la watu 71,392.

Angalia idadi ya watu waliongezeka

Kwa hali hiyo huwenda video hiyo ikafanya vizuri zaidi na kuvunja rekodi mbalimbali zilizowekwa na mkali Diamond pamoja na Alikiba.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents