Burudani
Must Watch: Trailer ya ‘Fifty Shades Of Grey’ (Video)
Trailer ya filamu ya “Fifty Shades of Grey” imetoka leo. Ni filamu iliyotokana na kitabu chenye jina kama hilo na inajumuisha pia exclusive version ya wimbo wa Beyonce’s “Crazy In Love.”
Filamu hiyo imetokana na kitabu cha mapenzi kilichouza zaidi cha E L James’ “Fifty Shades of Grey” na kuigizwa na Jamie Dornan na Dakota Johnson kama Christian Grey na Anastasia Steele. Inatarajiwa kuingia sokoni Feb. 13, 2015.