Burudani
Music: The Starz Band – Amani
Bendi mpya ya The Starz inayoongozwa na Aneth Kushaba imeachia wimbo mpya unaoitwa ‘Amani’. Kabla ya kuanzisha bendi hiyo iliyozinduliwa July 18 mwaka huu, Kushaba alikuwa Sky light band.