Nkunda Star, rapper toka Shinyanga, amejipatia umaarufu sana kwenye mikoa ya kanda ya ziwa kutoka na ngoma yake ya trap aliyoifanya kwa kabila la kisukuma, Dimaga (Shikilia). Kama bado hujausikiliza wimbo huo, ucheck hapo chini.
Join our mailing list to get the latest news!
Related Articles
Check Also
Close
-
Tanzia: Baba yake mzazi na Belle 9 afariki dunia kwa kugongwa na boda bodaApril 18, 2017 - 10:18 am