Burudani

Music: Mtoto wa Diddy, King Combs aachia remix ya Starboy

Mtoto wa Diddy, rapper Christian Combs ameonekana kuvutiwa na wimbo wa ‘Starboy’ wa The Weeknd ambao umefanikiwa kufanya vizuri mpaka kwenye chati za Billboard.

Combs ameamua kuufanyia kazi wimbo huo kwa kuachia remix yake. “Smooth like the Roc boy. But I’m a Bad Boy / 20 years from now, we’ll still be on top / I’m a star, boy,” amerap Combs katika wimbo huo.

Huu ni wimbo wa tatu kwa Christian Combs baada ya ‘Party’ na ‘One Foe Me’ tangu alipoingia rasmi kwenye muziki mwezi Juni mwaka jana. Sikiliza wimbo huo hapa chini.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents