Muziki
Music: Koredo Bello na Kelly Rowland waachia wimbo wao wa pamoja
Msanii kutoka lebo ya Mavin Record inayomilikiwa na Don Jazzy, Korede Bello ameachia wimbo wake wa pamoja akiwa na Kelly Rowland kutoka Marekani ambaye pia ni rafiki wa karibu wa Beyonce. Wimbo huo ni remix ya wimbo wake ‘Do Like That’ na umetayarishwa na Altims.