BurudaniMuziki

Music: Julio Batalia – Wabo

Mshiriki wa big brother Stargame Africa 2012 na msanii wa bongoflavour wa Tanzania Julio Batalia .Amechia ngoma mpya ya Tano aliyoimba kwa lugha ya kingereza Kwa mara ya kwanza.. Ngoma inayoitwa ‘ WABO ‘ . Iliyotayarishwa na ma producer wawili.. Mmoja akiwa anaitwa Frankboimusic(Frank Mutta) Mtanzania anayeishi California ambaye anafanya Kazi na wasanii wakubwa Kama Designer na Gucciman, na producer machachari Christone ambaye yupo Kwenye studio za flavour records.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents