Muziki

Music: Dj Khaled f/ Jay Z & Beyonce – Shining

Rapper Dj Khaled ameachia wimbo wake mpya ‘Shining’ ambao amewashirikisha couple maarufu duniani ambayo inanguvu kubwa katika muziki Jay Z na Beyonce. Wimbo hou utapatikana kwenye albamu yake mpya ya 10 ‘Grateful’.Sikiliza wimbo huo hapa chini.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents