Diamond Platnumz

Music: Diamond Platnumz f/ Yemi Alade – Ukimwona (Live)

Pamoja na kwamba ‘Ukimwona’ haikutoka kama ngoma rasmi ya Diamond, bado kwa wengi ni ngoma kali zaidi kuwahi kuimba na staa huyo. Pengine ndio maana, waandaji wa Coke Studio Africa walichagua Ukimwona utumbuize live akishirikiana na muimbaji wa Nigeria Yemi Alade. Na kwakuwa kipindi hicho kina bendi hatari, wimbo huo umekuwa mzuri zaidi hata ule wa mwanzo. Usikilize au kuudownload hapa.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents