Picha

#Musevenichallenge yatrend mtandaoni, tazama Wakenya wanavyoigiliza pozi lake la kuongea na simu barabarani

Wakenya ni mabingwa wa kutrendisha mtandaoni vitu vya ajabu ajabu.

MU7

Ni wao ndio walianzisha hashtag ya #WhatMagufuliWillDo ikawa trending topic duniani miezi kadhaa iliyopita. Na sasa wamerejea tena na hii ni zamu ya rais wa Uganda, Yoweri Museveni.

Museveni aliingia kwenye headline wiki hii baada ya picha inayomuonesha amesimamisha msafara wake, kuomba kiti na kukaa pembeni mwa barabara kuongea na simu.

CnNkuD6WIAENYtT

Picha hiyo imesababisha kuzaliwa kwa hashtag #Musevenichallenge ambapo watu wanaigiliza pozi hilo. Vunja mbavu kidogo.

CnTt6qoWgAAZHJq

13597814_252069698509680_63709028_n

13649359_272396346451957_2060629700_n

13671912_512711822247873_861694404_n

13687083_273189359721049_1514445233_n

13694673_1273174562723360_571763764_n

13707025_1645082182478187_653704143_n

13707361_553712078161521_861688702_n

13724680_942715899185063_2135184717_n

13734363_626687850829200_554528183_n

CnL-6lDXEAUUqRH

CnLabbrXEAArDHh

CnPLDm0WgAE3vHn

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents