Burudani

Mume wa Baby J yupo jela mwaka wa tatu sasa

Muimbaji kutoka visiwani Zanzibar, Baby J, amesema mume wake wa ndoa bado yupo jela mwaka wa tatu sasa.

11910514_1643281142605929_1772135023_n

Baby ameiambia Bongo5 kuwa mume wake alishikwa nchini Marekani ikiwa ni siku chache tu baada ya kufunga ndoa.

“Kweli niliolewa bahati nzuri au mbaya sikubahatika kukaa na mume wangu,” amesema. “Baada ya kuwa katika mazingira ya kuolewa ndani ya siku nne mume wangu akapata matatizo kule Marekani, akawa yupo jela. Kwahiyo bado yupo jela mwaka watatu huu, bado yupo kwenye matatizo.”

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents