Burudani

Muigizaji wa Nigeria Jim Iyke aikimbia Liberia kuhofia Ebola, apost picha akiwa amevaa ‘mask’

Muigizaji wa Nigeria, Jim Iyke amesababisha mjadala mkubwa mtandaoni baada ya kupost picha kwenye mtandao wa Instagram akiwa amevaa ‘mask’ ya kuzuia maambukizi ya Ebola wakati akiwa anasubiri ndege kwenye first class lounge wakati akiikimbia Liberia.

10536830_674104929332160_1073092975_n

“Monrovia, unfinished biz; Leavin tonite. Nt ashamed to admit tis ish scares the Jesus outta me. #Ebola!!!!,” ameandika kwenye picha hiyo.

Picha hiyo imesambaa kiasi cha habari kuandikwa pia kwenye mtandao wa Uingereza, Mail Online kwa kichwa cha habari: ‘Nollywood’ star posts image of himself wearing Ebola mask in first class airport lounge as he flees Liberia’

10471810_1449972871953666_1650615950_n
Jim Iyke

Takriban watu 600 wameshapoteza maisha tangu ugonjwa huo uibuke tena.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents