Habari

Muigizaji wa Bollywood, Priyanka Chopra apata shavu la kuigiza Marekani, runinga ya ABC yamsaini

Muigizaji wa Bollywood, muimbaji na aliyewahi kuwa Miss World 2000, Priyanka Chopra amesaini mkatana na ABC Studios ya Marekani.

chopra

Kwenye mkataba huo wa mwaka mmoja, ABC wanaweza kutengeneza kitu kwaajili ya Chopra au kumweka muigizaji huyo kwenye kazi yake inayoendelea.

Deal hiyo inakuwa ya kwanza msanii huyo kuipata nchini Marekani. Chopra, ameigizaji filamu zaidi ya 45 nchini India na hivi sasa ni miongoni mwa waigizaji maarufu zaidi.

Related Articles

Leave a Reply

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents