Kama sio DStv potezea
TECNO Spark 2

Burudani

Mtangazaji wa Fox News ataka Snoop Dogg na Bow Wow wauawe kwa kumtukana Trump

By  | 

Video ya wimbo wa Snoop Dogg ‘Lavender’ anayotuhumiwa kumdhalilisha Donald Trump inazidi kuleta matatizo. Mtangazaji wa kituo cha runinga cha Fox News ametaka Snoop Dogg na Bow Wow wauawe kutokana na kitendo cha kumtukana Rais huyo wa Marekani.

Akiongea katika kipindi cha The Five kinachoonyeshwa kwenye kituo hicho, Greg Gutfeld ambaye ni mmoja wa watangazaji wa kipindi hicho alitaka wasanii hao wauawe pamoja na kumuita Bow Wow majina kadhaa ya kumkashfu.

“dumb and desperate. Tiny Shaft, lil weenie, kneepad Shad and a sad little bitch. Uh, yeah, kill them. Before repeating it for emphasis. Kill them,” amesema mtangazaji huyo.

Naye rapper Bow Wow, kupitia mtandao wa Instagram alimjibu Greg kwa kuandika, “I just came for the comments. hahaha and this bitch getting roasted. Enjoy your walking papers. What I said was a tasteless joke. You were not joking. KILL US? Nah bitch kill yo self!.”

Loading...

Jiunge na Bongo5.com sasa

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

Comments

Bongo5

FREE
VIEW